Weekend story: Bad wives

What a suspense.. It can't end like this.. Come on Lara 1.
 
Asante kwa hadithi nzuri, ubarikiwe kwa muda wako. Ila nimejiuliza kwa mfano Sidney asingetoroka, nadhani singa asingemuacha hai yeye na mtoto nahis angewaua kweli akamuacha Amar peke yake. Just thinking
 
Au angewaua wote watatu for real... Ile ningetamani Amar, Sidney na mtoto ndo waishi happily ever after!
 
Daaah,yan machozi yalikua yananitoka baada ya kisoma amar kafa ilibak kidogo nisuse kusoma...asante lara1
 
DOOOOOOOOH!
nimependa twisting!
SHAAAAAP!
kweli everything changes excepet the law of changes itself!
DAH!
 
Ficus jamanii tutasikitika kufika ngambo bila wewe mwenzetu. Njoo umalizie story kishingo upande.
Teh teh teh! Hiyo niliisha waachia vijana wa mwendokasi, nasubiria reality show ya kiutu uzima.
Hope itakuwa weekend hii.
[HASHTAG]#Lara1[/HASHTAG]
 
What a super suprize! To me this is a sad ending. How I wished Amar, Sidney na mtoto wawe na happy ending aggrrhhh.
Bottom line, in real life Lara ni nani jamani, kati ya waandishi wakibongo bongo hata nashindwa kupata picha najaribu kusoma mwandiko wa Lara mwaka wa 3 sa hivi nimeshindwa hata ku guess ni nani in real life, I concluded, Out of JF lara huwa haandiki chochote, lakini kwanini?
 
hili muvi naona kabisa lina part II comeback ya Amar aembu nenda chimbo mama uje na part II yake naona mwisho wake bado kabiaaaa
 
LARA1 najua ipo episode ya pili..... nakushauri uindae kwa ajili ya sikukuu za Christmas na mwaka mpya
 
Asante kwa hadithi nzuri, ubarikiwe kwa muda wako. Ila nimejiuliza kwa mfano Sidney asingetoroka, nadhani singa asingemuacha hai yeye na mtoto nahis angewaua kweli akamuacha Amar peke yake. Just thinking
Good logic. Sidney kaponea chupuchupu... maana wangekua liability.....
 
Sasa hii ndio ninitena Lara1!? Mbona unamaliza story kibabe namna hii?
 
Story nzuri sana walah
Nimependa wahusika wanavyojielezea situation zao!
 
Hahahaaa Lara 1 Avator yako inanikumbusha mbaaaali sana mambo ya Skin Diamond
 
A very thrilling narrative ! You are a superwoman indeed.Hope to catch up with u next time.Jah bless !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…