Pale pale mzalendo? sijawahi liona hilo wala hizo net!Haswaaaaa bora tuambiane tusijeamka asbh tunalaumiana kwenye net!!!!
Net za wapi tena? Hapo hapo mzalendo au? Ukienda nikaribishe basi ili unionyeshe hizo net maana sijawahi kuziona ziko sehemu ganiyaani wakiwa mesharidhishana ndan ya neti ndio lawama zinaanzia hapo...
Muda unaenda wacha twende zetu makumbusho ;nikaona ni vyema tutakiane heri na fanaka bila kuwekana sawa kwenye uhai wetu..si wote wale wenzetu wanaolewa wanajishindwa kujihimili basi kumbuka hata zana kuweka mfukoni..yawezekana mwenzako (mlupo utakaemchomoa)amelewa lakini akikumbuka zana akusachi mfukon huna ...mkaamua vuka vuka lohh ...kama unajijua mdhaifu usiwe na aibu weka hio kitu mfukoni hata kama ukishindwa kumbuka mwenzako akikukumbusha basi uitoe mfukoni ...
Starehe njema
wathever u d dont over d it
kila siku najiuliza hili swali..
how old is mama mia???????
wtf?i was on way to dugg thy honey,tell me masa is it a she or he or shemale??can choose one from that.Kuwa makini na ID za JF, she is a man by the way!
no play safe,play at your own riskHaya play safe guys!!
Kuwa makini na ID za JF, she is a Man by the way!