Weekend ndio hiyoooooooooo

asterkfululai kama hii ndo wikindi. siitaki.mbona wako uchi?
 
Wamelaaniwa hakiya mungu.
 
LOH LOH LOH !!!

Anachafua hali ya hewa ilhali watu wamelipa kiingilio!!!
 
Nimekubali,wakiwezeshwa wanaweza. AAfu huo weusi wa naniliu kwenye hiyo picha ya mwisho mbona kama umezidi au wanja umetumika?
 
Hakyi yanani hii ni sodoma. kama wkend yenyewe ndo hii bora nikae nyumbani niangalie tv
 
Kuda'dada'dada'dadeki!! Kweli wanawake na maendeleo wafanye kazi wasonge mbele..
 
kuna umuhimu kwenda ku:eyebrows:takasa macho
 
Nimekubali,wakiwezeshwa wanaweza. AAfu huo weusi wa naniliu kwenye hiyo picha ya mwisho mbona kama umezidi au wanja umetumika?

Hapo ujanja umetumika nenda kwenye blog ya mzee wa supu utamuona vizuri. Nashut down
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…