Katika pita zangu si nikawasoma hawa jamaa wanaitwa CGV Cinemas, wana hizo special theaters zao zinatumia
4DX yani hiyo ukiwa unaangalia movie unapewa na real special effects kabisa kiti kinatikisika kulingana na action za movie, upepo, ukungu, mvua, radi, harufu etc. Unajiona big boss Thanos kabisa
.
Ngachoka!π