Weekend na minyonyo wangu!

Embu weka picha bas
 
tupatie mrejesho
Huyo ndo nishammwaga hakuna mrejesho sahivi nahangaika na Toto moja kali kinyama lkn changamoto yake ni kiziwi Sasa ndo namtongoza kuwasiliana ndo kasheshe sijui lugha za ishara mpk jasho la kikenge linanitoka! Nitaleta mrejesho kwa huyu kiziwi..
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] number yake ulichukuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…