Weekend na minyonyo wangu!

Sasa kenzy ile pisi mbona toka fb inaonekana ina urefu kukuzidi au nini kilikupagawisha hadi ukaomba minamba yake messenger
Hakunipa picha yake yote juu mpk chini.. nikaingia kichwakichwa..😂
 
Hakunipa picha yake yote juu mpk chini.. nikaingia kichwakichwa..[emoji23]
Ndio tatzo lao wengi wapo hivyo unawexa jikuta umeingia mzima mzima hadi nauli umetuma
 
Ndio tatzo lao wengi wapo hivyo unawexa jikuta umeingia mzima mzima hadi nauli umetuma
Na vile tunatumiaga kichwa Cha chini kuwaza..😅
 
mshana jr kujifanya pweza wa uchaguzi, kumefanya watu wasi mwamini nakumuona tapeli 'so sad"
 
tatizo Mungu anakupa wakufanana nao vikomba mboga wenzio😅..🤸🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️
So are you chambaling me..?
 
😂😂😂😂🤣🤣🤣chambaling you

Yes ...I chambaling sababu unaijuwa komamanga wewe😎
Kuniita komamanga kumeniuma sijui kwanini..😂 okay Basi nawe ni kipara ngoto..😜

I've miss something from you!..
 
Kuniita komamanga kumeniuma sijui kwanini..😂 okay Basi nawe ni kipara ngoto..😜

I've miss something from you!..
Sasa aliekuita kiberenge na Mimi niliekuta komamanga yupi inauma Sana 😅😅

Umemiss Nini🙄
 
Dah! Unaniweka ktk wakati mgumu na sijui nimekosea wapi..!

Nimemisi sauti za machura tu..😂
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂chizi kweli wewe

Kruuukruukruuuuu🐸🐸🐸🐸
 
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂chizi kweli wewe

Kruuukruukruuuuu🐸🐸🐸🐸
Sikuhizi umekuwa mtu wa vitisho kweli mpk nimeanza kukuogopa! Why this..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…