Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 1,827
- 2,427
Wenzao wawasaidie kupendezesha...si wamejitoa fahamu....Yaani nimejikalia hapa ghafla tuu nimeingiwa na tamaa ya kupendezaaaa
Halafu nikiwa natamani baba chanja aingiwe na hii tamaa ya kunipendezesha nikakutana na shekhe mwenye nasaha zake
View attachment 1815414
Mungu akubariki sana shekhe