Kwenu kutakuwa kanda ya kaskazini naona hasa pale penye mlima mkubwa AfricaKe lakini flatskirini
Nikupe ofa ? Maana kuna dada mjinga nimempa ofa nikamwambia achukue bajaji aje, eti ananiambia yeye sio wa daraja la bajaji. Nimemjibu " hataiona pepo "
Jileweye mamy..maisha yenyewe haya hayatabiriki...!cheers![]()
Dada upo?
Nikupe ofa ? Maana kuna dada mjinga nimempa ofa nikamwambia achukue bajaji aje, eti ananiambia yeye sio wa daraja la bajaji. Nimemjibu " hataiona pepo "
Nzuri Tajiri yangu, mambo yanaendaje huko kahama-kakola?Nipo boss wangu..habari za siku
Huku kwema..Mungu anajaliaNzuri Tajiri yangu, mambo yanaendaje huko kahama-kakola?
Na mm nakazia hataiona pepoNikupe ofa ? Maana kuna dada mjinga nimempa ofa nikamwambia achukue bajaji aje, eti ananiambia yeye sio wa daraja la bajaji. Nimemjibu " hataiona pepo "