Njugumawe hunogesha sana makande.Ila ya leo nimeweka maharage,mahindi na njugu mawe yaani matraaaamm na nazi mbili,..njooo tushindane kumjambia mume wetu mwenza wooiii
Eti nini?
Ndio maana mume wetu anatupenda wakeze...hatukoseagi jikoniNjugumawe hunogesha sana makande.
Shemeji hebu toa matunguli yote hadi kieleweke.Nahitahidi mno shemela sijui nafeli wapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani shemeji kalumanzila miss you too.
Sasa yale manuva unafanya lini jamani umchukue tu huyu mtoto?
Cc cute b
[emoji1732][emoji1732]Nipo kitandsni napika ugali na wali wa bamia
Hivi umeelewa ?
Sawa mkuuRelax
Njema dada shemeji. Kumbe unataka kufanya nini?Habari za siku nyingi kaka shemeji?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Njoo chukua mwenza yapo kibao,.na yalivyokolea nazi basi ni kujamba tuu leo usiku kucha,.
mmhNdio maana mume wetu anatupenda wakeze...hatukoseagi jikoni
hahah eti unatambaa๐คฃ๐Nipo nyumbani nimejilaza bed nafanya kazi ya kutambaa kama nyoka. Natoka jf, naenda WhatsApp,natoka naenda normal texts then narudi jf natoka naenda insta
๐ถ
Shem bae๐
LOVE BABE SHEM BAE DARLING HONEYShem bae๐
Hahahaa kama yoteeeee๐๐๐๐๐๐คฉLOVE BABE SHEM BAE DARLING HONEY
weekend ukala peke yako๐Hahahaa kama yoteeeee๐๐๐๐๐๐คฉ
Natambaaa mwenzangu๐๐๐hahah eti unatambaa๐คฃ๐
JF, INSTA, WHATSAPP, FB, TWITTER ๐Natambaaa mwenzangu๐๐๐