Weekend hii nilikuwa millionea wa kutupa, Lakini.....!!!!!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,920
Reaction score
15,166
View attachment 70342
Jana jioni nimeonja umillionea wa pesa ya Mzee Jongwe-Bob Mugabe.
Bahati mbaya sikuweza hata kurudisha raundi ya bia ya Ndovu iliyopo mezani.
 
kuna mshkaji alinipa storo alinunua bia huko katoa dola 10 kanunua bia akarudishiwa change begi limejaa hela,ikabidi amuachie waiter tip
 
Dah yaani noti ya laki mbili wala haina maana tena, mshkaji ikabidi aitupe tu. Mie nashindwa kuelewa, mizee mingine sijui inaona kutawala ndio haki yao ya kibinaadamu.
 
Si waachane na hii sarafu watumie Rand kwa muda huu, ili wajipange upya. Lazima watu waugue psychologically hapa, una trillion moja alafu hata andazi huwezi kununua?
 


Si wengi wameona au kukumbuka noti ya masai.
miaka hiyo ukiingia na masai bar wewe unatawala
 
Si waachane na hii sarafu watumie Rand kwa muda huu, ili wajipange upya. Lazima watu waugue psychologically hapa, una trillion moja alafu hata andazi huwezi kununua?

Walikwishaachana na hiyo fedha. Sasa wanatumia dola ya Marekani na Rand ya SA. Lakini inasikitisha nchi kukosa pesa yake!

Labda fedha yao wenyewe itakayokuwa na heshima itakuja mzee Robert atakaporudisha namba kwa Mwenyezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…