Pamoja na wapingaji kuwa Epl si bora lakin ni waz ligi hii ni bora kwa utafit
Wangu hapa kitaa wengi wanaona jmosi na jpili zimekuwa ndefu sna kipindi hiki
Cha mapumnziko vipi hali kwenu.....
Pamoja na wapingaji kuwa Epl si bora lakin ni waz ligi hii ni bora kwa utafit
Wangu hapa kitaa wengi wanaona jmosi na jpili zimekuwa ndefu sna kipindi hiki
Cha mapumnziko vipi hali kwenu.....
Nashangaa hao wanaoipinga wakat wamenunua dstv au wanalipia banda la video na mabando
Kuitazama
Sijawahai kifikiria kitazama mpira wa wa hapa bongo ht km wataniita s mzalendo hila kinachonisinu
Ni bongo siasa had michezoni mpira hauna ubunifu tofaut na kenya timu zimekuwa na ufund na siasa wameweka pemben kwenye michezo