Wedding photo

bwana harusi mbona hana kichwa?
 
Hapana nahisi hiyo suti nyeupe.kam imewekwa kwenye enga ivi au ni macho yangu
 
Huyu bwana harusi alipaka kiwi badala ya mafuta usoni
 
Labda Salamander atuambie ni wapi walifunga ndoa hawa wapendanao maana bwana harusi ana dalili zote za Ebora
 
Mapenzi sio sura wajameni, hamjui bwana harusi anamiliki nini hapa town.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…