website

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Wapendwa Mimi ni kiongozi wa dini nahitaji kuanzisha website ya kanisa . je inagharimu kiasi gani kuifungua na je nifanyeje naomba mwenye uelewa anisaidie maelezo ya kutosha
 
Wapendwa Mimi ni kiongozi wa dini nahitaji kuanzisha website ya kanisa . je inagharimu kiasi gani kuifungua na je nifanyeje naomba mwenye uelewa anisaidie maelezo ya kutosha

Nipigie kwenye 0767659145 au nipatie namba yako nitakupigia na kukupatia maelezo yote unayohitaji.

Mimi ni website designer na ninafanya web hosting kwa sh 109,000/Year
 
Unaweza tembelea ilovetz.com na kutazama mifano ya kazi tulizofanya hapa, pia tmbelea yatosha.com kuangalia viwango nafuu sana vya hosting
 
kwa .com au .org bei ni shs 50,000/ tu kwa mwaka. HDD space 500MB, monthly BW 5GB. kwa maelezo zaidi email: ymollel@gmail.com
 
Wapendwa Mimi ni kiongozi wa dini nahitaji kuanzisha website ya kanisa . je inagharimu kiasi gani kuifungua na je nifanyeje naomba mwenye uelewa anisaidie maelezo ya kutosha

Bwana asifiwe kiongozi; gharama zipo hivi kwa upande wangu
1. Website designing bei ni kati ya 250,000 mpaka milioni 5 inategemea na maelezo ya aina ya website unayotaka.
2. Hosting charge bei ni elfu 10 kwa mwezi na utatakiwa ulipe kwa mwaka mzima hivyo ni 120,000/=

You get:
unlimited emails
unlimited disk space
unlimited bandwidth
unlimited databases
Marketing services for the first 6 months
24/7 free Tanzanian customer service

You are welcome.
 
Asanteni nyote kwa maelezo yenu mazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…