Website za mpira

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
684
Reaction score
201
Wadau habari, naomba wenye kuzifahamu websites nzuri za kuangalia mechi za mpira anisaidie
 
Ninazozijua ni batman streaming ila ina ads kibao na goatde na hizi zote ni nzuri kwa laptop.. Ila ukiwa na mobile phone download app kutoka google inaitwa live football tv ni nzur inaonyesha mechi zinazochezwa muda huo.. Pia kuna burma tv nayo ambayo ina uwezo wa kuunga na tv ukachekia huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pakua app ya live fooball tv ni tamu kuliko mobdro muonekano wake uo apo
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

ENJOY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…