Jana nipo intaneti kaingia kijana anataka kupakua joining instructions 2019/2020 ikagoma,akaomba msaada kwangu ikagoma.
Mhudumu akaitwa asaidie ikakataa.
Je,hizo joining instructions zimeshawekwa mtandaoni au bado?Zinafunguka au LA?Mpaka lini zitawekwa na ili vijana wazipakue na kuzifanyia Kazi?
Wanaohusika tunaomba mrejesho ili vijana wetu waache kushinda Intaneti Kefu na kuliwa hela.