T tizo1 JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 861 Reaction score 160 Feb 2, 2012 #1 Ina maana wameifunga ili tununue gazeti kwa 800 tsh?Msaada kama kuna anayejua tatizo ni nini kwenye hiyo website.
Ina maana wameifunga ili tununue gazeti kwa 800 tsh?Msaada kama kuna anayejua tatizo ni nini kwenye hiyo website.
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,374 Reaction score 29,617 Feb 2, 2012 #2 hebu ngoja niitembelee nijionee.
G gumegume JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 1,063 Reaction score 620 Feb 2, 2012 #3 tizo1 said: Ina maana wameifunga ili tununue gazeti kwa 800 tsh?Msaada kama kuna anayejua tatizo ni nini kwenye hiyo website. Click to expand... Ili "kulazimisha" watu kununua gazeti lao kwa Tsh 800, wachukue hatua nyingine ya ziada. Wapige marufuku TV na Redio zote, kusoma habari za magazeti yao.
tizo1 said: Ina maana wameifunga ili tununue gazeti kwa 800 tsh?Msaada kama kuna anayejua tatizo ni nini kwenye hiyo website. Click to expand... Ili "kulazimisha" watu kununua gazeti lao kwa Tsh 800, wachukue hatua nyingine ya ziada. Wapige marufuku TV na Redio zote, kusoma habari za magazeti yao.
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 5,006 Feb 2, 2012 #4 Nadhani walikuwa wanaifanyia marekebisho asubuhi, sa hivi iko safi!!!!!!