Ethical Ninja CEH
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 3,695
- 5,053
- Thread starter
-
- #21
Wako poa maana MD wao ni guru wa fitna za business deals katika nji hii..mshkamoo samwel lema
Kazi ipo, ila hata huyu nae Marktech enzi zake alisumbua sana..
Hahaaa alivokosa hiyo kazi MD mr.makyao nusu apate stroke..hakuamini kabisa...lakini ndo hivo wameshapigwa chini
Wakajipange sasa... kuna kampuni nyingi sana zinazo fanya kazi kama zao zina fumuka kama uyoga na zipo vizuri sana, wakizembea inakula kwao jumla.
Sometime siyo admin kanjanja ila kuna watu unao-share nao passwords nao pia wanaweza kukuangusha wakitumika vibaya kwa maksudi au pasipokujijuwa.
Hawa northern engineering wenyewe majanga bado..wana magari na vitendea kazi vyote shida ni kuwa technicians wao magumashi ..wana chief engineer darasa la 7..hata ku andika sentensi ya kiingereza hajui. Yupo tu ndo chief engineer ....nao bila kujipanga 6 months ni nyingi wanapokwa hiyo kazi
ah ah ah! ili ni tatizo mkuu, izi kampuni nyingi zina kasoro hiyo, tukianzia Pivo tech, Ose power solution, Sincrowatch site kidogo marktech wana watu walioenda shule. Nafikiri Rimen wanajitahidi kwa vifaa vya utendeaji kazi na pia hata mafundi wao wameenda shule
Reime wako fit sana na wana mafundi very professional shida yao hawana magari tu...northern wana vyote hivo lakini technical team hovyo...huyo chief engineer anaitwa mbise ni uyoga mtupu..alikuwa fundi wa umeme anachomelea ma grill sijui wapi ndo kawekwa hapo ni balaaaa
Nafikiri hao Newl, itakua wanaona shida kulipa watu ambao ni profesional maana hao la saba hata wakilipwa mia 500, kwao ni nying sana, ndio maana unakuta hata utendaji ni mmbovu sana, site kila kukicha zinashuka chini... kinacho fanya wawe wazembe nafikiri ndio yale mambo ya kupeana kazi kijamaa.. na hii nimeiona Airtel na Voda, sijui tigo na huko kwingineko
Hahaaaa umepiga penyewe..wanapena kazi kwa kujuana sana..madereva ndo wanakuwa ma technician sites..hawa newl hawamalizi 6 months kwenye hii contract na helios wanapigwa chini...hawana proffetional technicians kabisaaaaa
Helios wapo makini sana na kazi zao, hawana ujinga ujinga kama NSN.... ngoja tusubiri tuone, Madereva ndio hua technician magari yenyewe ni tetenasi.. nilisha wahi kuanda gari moja la site duh.. ni adhabu so, kwa mru amabe ni proffesional na najua haki zake kazini hauwezi kumuweka kwenye gari za namna hiyo..
Helios wamenunua minara yote ya voda na tigo...voda hawana ownwership ya mnara hta mmoja...helios ndo inatoa kazi za maintainance ya minara wa hao northern engineering ,marktech na wengineo...marktech wamekosa tender iliyotokewa na helios kufanya maintainance ya towers za vodacom na tigo....ushanifahamu mpaka hapo? So be aware kuwa vodacom na tigo as of sept 2013 hawana mnara hata mmoja yote imeuzwa kwa helios
Makteck kama imekosa tender basi ndio mwisho wao ndio ishakufa tena warudishe flows pale Shamo House.
Hahaaaa gogo vivu wewe lazima ni mtu hodari wa telecom katika njiii hii...
Nilipita pita kwenye hiyo industry kama mwaka mmoja ivi, nikajionea madudu kibao yanayo endelea huku... na haya madudu hasa yapo katika upande wa Network Power.
Inawezekana, but Admi wengi hawapo serious na kazi zao, wakipewa tu kazi wao nikukaa pasipo kujifunza maarifa yoyote ya ziada na ndio wabongo wengi tupo ivi, na hii sababu sehemu ambazo zinahitaji security ya hali ya juu huwezi kuta mmbongo. Tazama paka mda huu site imeshikiliwa nini maana yake? kwa anae imenage iyo site
Makteck kama imekosa tender basi ndio mwisho wao ndio ishakufa tena warudishe flows pale Shamo House.
Eeeh ndo kwenye uozo huko...watu hawafanyi kazi wao ni kuiba diesel tu
ah ha ah... uminikumbusha mbali sana, maana hii hata ma manager wao wanalijua, ndio maana wanawalipa mishahara midogo. Kuna manager mmoja alisemaga hawa hawaitaji kulipwa nyingi wanatakiwa kujiongeza tu huko wanapo kwenda site... kiukweli Diesel wana piga sana, hua wana cheza na ile mipamp yao tu, utaona zimeingia lita mia 400 kumbe hapo unakuta wameweka lita 300 tu, nyingine upepo.
Nimeenda whois.sc nimeona wanayoi-manage hii domain ni UCC na UDSM sasa nashindwa kuelewa!