website ya kudownload as premium from more than 70 sites. rapidshare, hotfile , extabit....etc

Paje

JF-Expert Member
Apr 24, 2010
1,185
455
wakuu nimekutana na website hii hapa AllDebrid: High quality unrestrained downloader, universal access, maximum connection speed. ukiwa premium kwao ndio unapata kudownload as premium kutoka website zote zenye mafail. zaidi ya file sharing sites website 120.
pia wana fanya ku convert torrents kuwa kama http files kwa kuziupload kwenye uptobox.com na kuweza kudownload torrent kama webfiles kwa spidi kali.
bei zao.
mwezi mmoja 4euro
miezi mitatu 9 euro
miezi sita 16 euro.
kama kuna watu wanataka kuwa premium memba basi wa ni pm. tununue account ya miezi mitatu (90 days) kwa mchango. kwani inakubali multiple users at the same time i think.
nasubiri PM tusizidi wanne. wahi mapema nafasi ni chache.....
 
good information ngoja tuangalie uwezekano kuwa bypass
 
buku tano kwa miezi mitatu ni nyingi? for all downloads including torrents at high speed? ni kama shilingi 1700 za kitanzania kwa mwezi. atayekuwa tayari ani PM
 
Back
Top Bottom