[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]Hon.Chikawe Meinrad Mathias[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Nachingwea Constituency[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Questions(0)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Supplementary Questions (0)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Contributions (0)[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Source: Parliament of Tanzania
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]Hon.Chikawe Meinrad Mathias[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Nachingwea Constituency[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Questions(0)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Supplementary Questions (0)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Contributions (0)[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Source: Parliament of Tanzania
Hilo nalo neno..... Any way. Nilitaka nionyeshe ni jinsi gani Mbunge wa Jimbo lako anapopewa uwaziri inavyokughalimu mpiga kura, Huyu Chikawe ni Waziri hii imepelekea asiweze kuzungumza chochote bungeni as if yeye kupewa uwaziri kuna maanisha jimboni kwake hawana la kusemewa.Ivi Mrema profile yake ikisoma Qns 100,,Contributions (98) etc, je mtamsifia vip?
Hii inamsaidia nini mpiga kura wake kule jimboni????????? kuna haja ya kutenganisha ubunge na uwaziri ili wabunge waweze kuwawakilisha vizuri wapiga kura wao bungeni.tihii hii hiiiii..................jamani yeye ni waziri haulizi anaulizwa tuu wajameni!!
Ninaiita ya kichochezi kwasababu wanamchonganisha huyu mbunge na wapiga kura wake, lazima Bunge liangalie namna ya kuwalinda wabunge wa namna hii walioenda bungeni kutafuta pesa na kupiga makofi ya kuunga mkono hoja