Website ya BoT haitendewi haki

It is one of the most useless website I have ever seen. Na usishangae kuna mtu hapo BOT anaitwa Director of IT..

SIJUI TECHNLOGY (wanajua namna ya kugawana vyeo ati) akipata mshahara na kilimo kwanza ya kumzungusha mjini.

Honestly kuna watu wanatulet down sana kama taifa.. akina Ndulu na wengineo.
 
Mimi hapo sijaelewa maana naona kila kitu kipo sawa, hebu toa Maelezo yanayojitosheleza
 
It one of the most useless website I have ever seen. Na usishangae kuna mtu hapo BOT anaitwa Director of IT..SIJUI TECHNLOGY (wanajua namna ya kugawana vyeo ati)..akipata mshahara na kilimo kwanza ya kumzungusha mjini...
..Honestly kuna watu wanatulet down sana kama taifa.....akina Ndulu na wengineo.

They better go analog...
 
Mimi hapo sijaelewa maana naona kila kitu kipo sawa, hebu toa Maelezo yanayojitosheleza


Wewe ndiye muhusika mkuu wa hii website unathubutu kusema kila kitu kipo sawa ??

ATTACH=full]331421[/ATTACH]
ImageUploadedByJamiiForums1458544244.984255.jpg
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1458544217.814108.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1458544217.814108.jpg
    48.9 KB · Views: 41
Mimi hapo sijaelewa maana naona kila kitu kipo sawa, hebu toa Maelezo yanayojitosheleza
Angalia vizuri hizo public holidays na mwaka wake. Utaona kasoro, taarifa nyingine inategemea na taaluma yako.
 
Ndo tatizo la kufanya kazi kwa mazoea! Kiukweli hiyo website kwa yeyote ambaye ni muhusika should feel ashamed!
 
Back
Top Bottom