dogoodesign
Member
- Oct 21, 2019
- 41
- 21
tunaangalia visitorsUwo ubora umepimaje?
hujui kituNaona umekuja kutangaza kiji site chako hapa. Hapo mabumbe na ajira.go.tz ndo site za uhakika
Inategemea tuu na bahati mimi kazi nayofanya sasa niliomba kupitia brightermondays tena ili kuwa kwa mara ya kwanza kuombea pale,so usikate tamaaBrightmonday hakuna kitu apo bro na jamaa angu ameapply zaidi ya mara 100 na hajawai itwa
hamna kitu hakuna ajiraJamii forum...!
kweli kabisaInategemea tuu na bahati mimi kazi nayofanya sasa niliomba kupitia brightermondays tena ili kuwa kwa mara ya kwanza kuombea pale,so usikate tamaa
Mabumbe is the bestNaona umekuja kutangaza kiji site chako hapa. Hapo mabumbe na ajira.go.tz ndo site za uhakika
Kweli tupu sijui wanakwama wapi?Brightmonday hakuna kitu apo bro na jamaa angu ameapply zaidi ya mara 100 na hajawai itwa
Nasikia wapost ajira hewaBrightmonday hakuna kitu apo bro na jamaa angu ameapply zaidi ya mara 100 na hajawai itwa
Ukienda pale watakupiga kielfu kumi champ wakuache solembaEmpower Tanzania, ila bado nafasi wanatoa kwa kusuasua.