Kilongwe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2008
- 423
- 116
Ndugu wana JF,kwa wale wapenda maendeleo,kama mujuavyo nchi yeyote haiwezi kuendelea kama watu wa IT hawatojitolea kwa hali na mali zao.
Kuzingatia hayo,nimekuwa na wazo hili ambapo,nitadevelop website kwa ajili ya watu wa IT,hii website itakuwa ni kijiwe na source ya information zote za IT na maisha kwa ujumla,
Kimsingi kuna watanzania wengi ambao wana moyo hivyo jamani naomba tushirikiane kama ifuatavyo.
Kumbuka ninapomaanisha kushirikiana ina maana unaweza kusema wewe utatengeneza banner,mwingine akasema atatengeneza logo,mwingine akasema atatengeneza management system na kitu chochote unachokipenda.
Kazi ya kudevelop itaanza mnamo March 10;
Kuanzia sasa ninaomba watu tusaidiane kwa maoni wewe unafikiria nini,je unaona tunaweza kuwa na info gani,unaona nini tunaweza kukiunganisha kwa pamoja au nani anaweza kutupamsaada(nina maanisha msaada wa kiufundi au mawazo kwani nina server yangu binafsi yenye space kubwaaaaa ya kutosha kamahivyo no extra cost wakuu)
Lugha ya kutengenezea website nitayotumia ni mjumuiko wa PHP na JSP(hii ni kutokana na security issues hivyo nimeonelea nichanganye lugha mbli,)
Database tutatumia mysql,kama kuna umuhimu hata oracle ila sio kwa sasa.
Lugha ya website itakuwa ni KISWAHILI TU!(Kingereza au Kichina kitatumia pale inapobidi,ila kiswahili ndio lugha kuu)
Mwisho wa kupokea maoni ya kwanza itakuwa ni march 9.
Kumbuka baada ya kudevelop,nitaacha code kwa watu wenye nia ya kuendeleza website as long hakuna kihatarishi cha usalama.
Mpaka mwiso wa 2010,website itakuwa tayari imekomaa na kuwa stable.
Michango jamani.
Kwa michango,featuring na mingineyo waweza kutoa hapa JF au kuniandikia kwenye e mail yangu ambayo ni kilongwe@qq.com au robot08@qq.com