G Gasy wa Ukweli JF-Expert Member Joined Nov 7, 2010 Posts 397 Reaction score 201 Jul 11, 2015 #1 Jamii Forum leo vipi kuna tatizo gani naona kuna muda JF inakuwa offline. Vipi ni users wamekuwa wengi? Jitahidi m boreshi mitambo hasa kipindi hichi cha uchaguzi imekuwa tegemeo letu kupata update.
Jamii Forum leo vipi kuna tatizo gani naona kuna muda JF inakuwa offline. Vipi ni users wamekuwa wengi? Jitahidi m boreshi mitambo hasa kipindi hichi cha uchaguzi imekuwa tegemeo letu kupata update.
M Mo14 JF-Expert Member Joined Apr 25, 2015 Posts 211 Reaction score 320 Jul 11, 2015 #2 Jaribu kutumia applications za simu kama unatumia simu. Natumia tapatalk app kufuatilia matukio ya leo jf, sijaexperience tatizo lolote. Ila nadhani jf watalifanyia kazi hilo maana kuelekea kwnye kampeni watumiaji watakua wengi zaidi
Jaribu kutumia applications za simu kama unatumia simu. Natumia tapatalk app kufuatilia matukio ya leo jf, sijaexperience tatizo lolote. Ila nadhani jf watalifanyia kazi hilo maana kuelekea kwnye kampeni watumiaji watakua wengi zaidi
Daata JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,766 Reaction score 2,076 Jul 11, 2015 #3 mwenyewe nimeshindwa sana kutumia application sijui kuna nini!