Website / Hosting / domain / apps thread

Website / Hosting / domain / apps thread

vanniglotz

Member
Joined
Mar 31, 2018
Posts
9
Reaction score
0
Karibuni kwa msaada wa IT wa gharama nafuu katika yafuatayo

Domain registration
Web hosting
Mobile apps
Web apps
Web design
Tovuti yetu www.vanniglo.co.tz

0769338868

Wadau wengine mnakaribishwa kutumia thread hii kutangaza
 
IMG_20180419_095457_170.jpeg
IMG_20180410_230602_496.jpeg
IMG_20180410_223048_994.jpeg
 
Karibu kwa mahitaji ya website , blog , system mbali mbali km za shule, mauzo , nk 0769338868
 
IMG_20180419_095457_170.jpeg

Karibuni sana tufanye kazi,
Faida ya kuwa na email zinazoendana na jina lako LA kibiashara ni kujitangaza zaidi, na kujitofautisha na wengine

Kuwa na tovuti, ukimiliki tovuti yako mfano vanniglo.co.tz

Hii inakusaidia watu mbali mbali kukufuatilia na kupata taarifa za huduma zako, na pia inakusaidia watu wakirafuta aina ya huduma hiyo kupitia google wewe nawe utafikiwa , km tunavyoelewa watu wengi hutumia google kutafta mambo mbali mbali kwenye mtandao, hivyo fursa ya kuwa na tovuti au website inakuwezesha nawe uwe miongoni mwa majibu yatakayotokea kwa mraftaji hibyo kukufanya utambulike zaidi na zaidi,

Gharama zinaanzia laki 4 tu na unapata domain, yaani jina mfano biashara.co.tz , hosting ya 1GB kwa mwaka , website ya kisasa yenye maboresho ya kuonekana kwenye simu vizuri na kupatikana kwenye google.

Karibuni sana 0769338868
 
Karibuni ujipatie website nzuri na ya kisasa kwa gharama nafuu, interested clients nitawapa sample za kazi mjionee ubora 0769338868
 
mkuu ukiwa unatangaza biashara hakikisha na wewe uko poa nikiwa na maana mtu anapo kuja kwenye link yako anaweza kuji ridhisha kuanzia mwanzo mpaka mwisho mfano
bbbbb.JPG


nimejaribu kuweka site ila kinacho tokea ni hikkiii ina maana wewe hujamaliza hata matengenezo unakimbilia kutafuta wateja
vvvvvv.JPG


basi hili sawa ukija hapa tena unakutana na link ziko chini hata huja zielezea jitahidi sana kuwa unafanya kitu toka moyoni usi bet kujitangaza kibiashara kama hauna huakika uta fail au utajikuta unakata tamaa.

nimejaribu nisome hata wasifu wako

jjjj.JPG


inaonekana umenunua theme uka edit kisela uka nunua domain then paooooo ukatangaza

OUR HAPPY CLIENTS

nina wasi sidhani kama umezitengeneza maana ume weka pichaa baada ya link kwanza

xxxx.JPG


SORRY FOR EVERY THING >>>>>.HABARI ZERO
 
Ofa kabambe ya mwezi September ni kwa Watu kumi tu . Tunatoa ofa hii kwa mwezi huu ili kuhimiza na kusaidia watu wengi wajue umuhimu wa kutumia website kibiashara au shughuli mbali mbali . Kutumia email zinazo akisi jina la biashara.

Website inakufanya upate ofisi yako online ya kuwaelewesh shughuli zako wateja.

Karibuni sana
Bei kawaida ni domain .tz 25000
Hosting 1Gb 100,000
Website design unapewa cost baada analysis ya mahitaji yako

Karibu 0769338868
IMG_3107.jpg
 
Back
Top Bottom