Nyie ndio mnaua soko na mwisho wa siku taaluma ya IT inadharauliwa coz mnajiweka cheap sana! Mm natengeneza website but siwez kufikia hatua hyo aisee! Hivi unawaonaje Lawyers taaluma yao jinsi wanavyoiheshimu yaani hawezi kujishusha ata kidogo kwasababu kaigharamikia kuipata.Bonge la Offer Kutoka Tanzania Website Experts;
Website Design ya ukweli
Domain name Registration (mwaka Mmoja)
Website Hosting (Mwaka Mmoja)
Bei ya Kila kitu hapo ni ONLY TZS 150,000/-
Mawasiliano: 0679732975