Website Design 400000/=

Kafiti

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
537
220
Tunatengeneza tovuti kwa ajili ya watu binafsi, kampuni, taasisi , mashirika na vyuo. Gharama itahusisha vitu vifuatavyo:-

- Logo 1 bure
- Domain name bure mwaka mzima.
- Hosting bure, mwaka mzima.
- Mafunzo ya uendeshaji wa website yako bure.
- Itakuwa responsive, yaani itakuwa ikibadilika kulingana na kifaa atumiacho mtembeleaji yaani simu, computer nk na maelezo muhimu yataonekana vizuri kabisa.
- Security ya website yako ni ya uhakika.
- Customer support 24/7.
- Email za kiofisi, zinazoendana na website yako(mf. juma@funditv.com)
- Muonekano mzuri na wakuvutia wa website yako.
- Custom CMS au Wordpress CMS kutegemeana na mahitaji ya mteja.
- Linked account za mitandao ya kijamii.

Mawasiliano:
Swahiliware Technologies
info@swahiliware.com
www.swahiliware.com
Simu: 0684 141476
0714632032
 
kwa sasa natumia simu hivi inafanya kazi kwenye simu kama ilivo blogs au mpaka pc au desktop? na ni apps gani natumia kwenye website
 
Mkuu nazan haujanielewa namaanisha km utakuwa na website na hauna pc yaani wana application km YA blogger ambayo itaniwezesha kupost event nikiwa na smartphone yangu?

Inawezekana mkuu, unaweza kupost kwa kutumia simu yako.
 
APPS inaitwaje ?

Huwa tunatengeneza Custom CMS ( Namna unaweza kuweka vitu kwenye website) tofauti kwa wateja zinazoendana na website tulivyotengeneza. Mara nyingine huweza kutokea tukatengeneza Wordpress site hivyo mtumiaji unaweza kutumia Wordpress Mobile App kuwasiliana na site yako, kwa Custom CMS huwa tunatoa link zilizo-mobile friendly itakayokuwezesha pia mmiliki kuitumia website yako kiganjani bila tatizo.

Kutegemea na site yako, utaweza kutumia njia mojawapo kati ya hizo.
Karibu.
 
Vipi unatengeneza na Application(App) ambayo naweza weka playstore au Iphone store? Kama ndiyo unafanya bei gani? Nataka inayohusika na mambo ya fashion za nguo nk..
 
okey sasa mimi nnayo domain na hosting tayari, pamoja na theme ambayo inahitaji editing, bei hapo inakuaje?

Tuwasiliana mkuu, gharama itategemea na site yako tu.
Karibu, 0684 141476
 
Back
Top Bottom