ni nzuri ... inawafaa sana wanafunzi wa sekondari... kama weye ni mmoja wa waanzilishi wa hiyo site .. hebu wekeni sehemu maalumu ya council kwa ajili ya wanafunzi wanaomaliza form 4 .. combinations gani zitawafaa wakiingia A- leval...
vijana wengi wanafata mkumbo na kusoma combinations ambazo hawana uwezo nao, natarajia siku nikirudi TZ nitaenda katika shule niliyosoma mimi na kuongea na wanafunzi kuhusu hili jambo.