Bongo wote ni mawakala lakini wapo waliofresh. Sidhani kama kuna competitor wa extremeweb hapa bongo. Cha muhimu unatakiwa kutumia kampuni iliyosajiliwa. Hao wanaosema $2 au 1 kwa mwezi bado ukifanya kwa mwaka bei ni ile ile ya hapa bongo. Pia wanabana kwenye monthly BW na services zingine
Habari za sahivi wanajamii Naomba niulize Ni host gani ambaye ni mzuri na cheap nimehost site na Godaddy lakini ni majanga zaidi ya majanga. Website yangu inatakiwa kuwa online 24/7 afu nahtaji unlimited bandwith pamojana unlimited disk space please recomend.
Msamiati C6 Stefano Mtangoo Nyasiro

extreme wana nini cha ajabu? Hamna kitu hapo. Uwa nanunua domain kwao . Siku moja nawapigia simu wanibadilie nameserver wanatoa macho tu wananiambia eti domain haijawa registered na wao. Nikasema hawa vilaza kweli.
chief-mkwawa Msamiati asanteni sana nimejaribu kuhost na SmarterASP.net - Unlimited ASP.NET Web Hosting kweli wako fast na mpaka sahivi sijapata tatizo lolote naona na bei zao sio expensive kivile. Mnaweza tembelea Welcome to Kinukazi na kunipa ushauri kidogo kuhusu website yangu
sio maybe bro, ndioo nnaponunua domain za dot tz so nawafahamu hawa jamaa, mie kama watu wanafanya poa nawapa heko zao kama hamna kitu nasema tu. ni wakawaida sana.not true.. sifanyi promo ila unachokisema maybe................
sio maybe bro, ndioo nnaponunua domain za dot tz so nawafahamu hawa jamaa, mie kama watu wanafanya poa nawapa heko zao kama hamna kitu nasema tu. ni wakawaida sana.
Nilikuwa nikinunua kwao domain mara ya kwanza, yaani kuna wakati walitumia wiki nzima kununulia domain moja yaani ni shida tupu sijuwi kama wamejirekebisha siku hizi maana wiki 2 zilizopita nimenunua kwao tena na waliiweka hewani siku hiyo hiyo. Kuna urasimu kidogo pale.