Habari za sahivi wanajamii Naomba niulize Ni host gani ambaye ni mzuri na cheap nimehost site na Godaddy lakini ni majanga zaidi ya majanga. Website yangu inatakiwa kuwa online 24/7 afu nahtaji unlimited bandwith pamojana unlimited disk space please recomend.
Msamiati C6 Stefano Mtangoo Nyasiro

mimi nimetumia smarterASP jamaa wapo fast wanakupa trial ya miezi 2 utest, bei zao zinaanzia dola 2.95 kwa mwezi, unaweza jisajili trial uka evaluate.
ila hupewi domain, ukitaka domain utaongeza dola 10.
pia sikushauri hawa wanaohosot bongo wengi ni mawakala wa hosting za ulaya na marekani server zao hazipo bongo.
ASP.NET Hosting with Advance Control Panel
unaweza cheki review zao online
Bongo wote ni mawakala lakini wapo waliofresh. Sidhani kama kuna competitor wa extremeweb hapa bongo. Cha muhimu unatakiwa kutumia kampuni iliyosajiliwa. Hao wanaosema $2 au 1 kwa mwezi bado ukifanya kwa mwaka bei ni ile ile ya hapa bongo. Pia wanabana kwenye monthly BW na services zingine
smarterasp wanatoa unlimited bandwitch, cha muhimu ni speed ya server unaweza toa mfano wa website waliohost hao jamaa tuone speed yake?
goddady ni majanga mkuu. walishaniliza sana. host mzuri anacharge bei kubwa kikawaida.
hawa ndio hosting wazuri hawajawahi kuniangusha
EXTREMEWEB TECHNOLOGIES - DAR tshs115000
INFOCOM CENTER- ARUSHA tshs50000
IMATIC TECHNOLOGIES -DAR tshs 70000
gharama hizo ni kwa domain za .com
kwa maelezo zaidi ni PM
kwa hosting za nje tumia BLUE HOST
tunaomba utueleze majanga ya godaddyHabari za sahivi wanajamii Naomba niulize Ni host gani ambaye ni mzuri na cheap nimehost site na Godaddy lakini ni majanga zaidi ya majanga. Website yangu inatakiwa kuwa online 24/7 afu nahtaji unlimited bandwith pamojana unlimited disk space please recomend.
Msamiati C6 Stefano Mtangoo Nyasiro
Http:totalsolution.co.tz
Http:crossmaasaicampssites.com
Zote hizo zimehostiwa kwenye SOHO plan ambayo ndio plan ndogo kabisa kwao yenye monthly bw ya 10gb na 250hdd space na unlimited emails.
Wana plan zingine za juu kabisa,
Kwa Imatic technologies nao kuna plan kadhaa ambazo zinaanzia 10gb Bw na unlimited emails
Habari za sahivi wanajamii Naomba niulize Ni host gani ambaye ni mzuri na cheap nimehost site na Godaddy lakini ni majanga zaidi ya majanga. Website yangu inatakiwa kuwa online 24/7 afu nahtaji unlimited bandwith pamojana unlimited disk space please recomend.
Msamiati C6 Stefano Mtangoo Nyasiro
speed average sio mbaya wala sio nzuri, kwa website kama hizo sio mbaya ila kwa website kama jf na nyengine kama blogs zinazotembelewa mara kwa mara haifai
tunaomba utueleze majanga ya godaddy. na wanalizaje mtu??
godaddy wapuuzi sana, customer support yao ya kijinga sana. Baada ya kuwa na na ma website mengi wanayoshugulikia wamekuwa hawana muda na wateja, mie sitaki kabisa kuwasikia godaddySo mtaalamu kwenye hayo mambo ila ninazo basics
Namashaka naukisemacho kua godaddy ni majanga...wakati m nasikia huyo ndo Best host kwenye hii biashara
Basi jaribu 1&1 maana ndo anakuja baada ya godaddy
Infact kama umem diss godady nakushauri tafuta VPS au Dedicated server yako Intall apache utaweza hata host multiple websites upendavyo
Vinginevyo mcheki Donn atamaliza kazi yako
godaddy wapuuzi sana, customer support yao ya kijinga sana. Baada ya kuwa na na ma website mengi wanayoshugulikia wamekuwa hawana muda na wateja, mie sitaki kabisa kuwasikia godaddy
Habari za sahivi wanajamii Naomba niulize Ni host gani ambaye ni mzuri na cheap nimehost site na Godaddy lakini ni majanga zaidi ya majanga. Website yangu inatakiwa kuwa online 24/7 afu nahtaji unlimited bandwith pamojana unlimited disk space please recomend.
Msamiati C6 Stefano Mtangoo Nyasiro
So mtaalamu kwenye hayo mambo ila ninazo basics
Namashaka naukisemacho kua godaddy ni majanga...wakati m nasikia huyo ndo Best host kwenye hii biashara
Basi jaribu 1&1 maana ndo anakuja baada ya godaddy
Infact kama umem diss godady nakushauri tafuta VPS au Dedicated server yako Intall apache utaweza hata host multiple websites upendavyo
Vinginevyo mcheki Donn atamaliza kazi yako
tunaomba utueleze majanga ya godaddy
Mkuu hapa nilipo kuanzia asubuh web yangu ina load tu mpaka nishushe pages zote nikiweka moja ya index ambayo nimeandika site down for maintainance inakubali ila nikirudisha pages zangu nyingine ndio majanga yanaanzia hapo wakati nyuma ilikua inafunguka vizuri sema slow...
mpaka sahivi hawajanijibu kitu na nimejarbu pitia baadhi ya wengine wanaohost na godaddy wanasema ina matatizo pia na site yangu inahitaji kkuwa hewani 24/7 sababu ya traffics wako wengi i kama e commerce site