Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
wataaalam mlioboea kwenye mambo ya web ninahitaji ushauri na elimu ya kitaalam
Nina knowledge kiasi tu sasa nilikuwa najikumbusha mambo ili nisisahu vitu kwenye web engereening.
Nataka niweke slides za picha katika web amabazo picha hizo zitakuwa zinabadilika badilika kwenye broswer (client)
Tembela web hii uelewe nachotaka BBC SPORT
When giving advice assume kuwa tayari ninayo website iliyokamilika na kila kitu kiko safi upande wa sever side
Nahitaji msaada wa kunimbia tools, au script code za mfano au link zinazoweza kunisaidia.
Natanguliza shukrani