Wakuu Nina tatizo anayejua anipe ushauri i wa kitaalam.
Ninadevelop ka webblogwesite kwa kutumia CMS sofware ya wordpress
ili niweze kufanya customisation nazotaka ninatumia webhost au webswever wengine na sio wordpress.com.
Sasa basi nimekuwa nakwenda vizuri kwa kujifunza kwenye net na nimewezea kutengenza vi-page na ka-blog.
Tatizo limekuja nilipotaka kudesign page fulani ya FAQ niliyoona sehemu. Hiyo page nikiweka kama html page inafanya kazi vizuri. lakini nikiiunganisha iwe dynamic page kwenye CMS ya wordpress inagoma kubehave kama inavyobehave kwenye HTML