Web developers+data encryption

mathsjery

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
2,287
Reaction score
1,855
una link kwenye page yenye jina flani then someone anaclick on that link inampeleka kwenye page inaitwa copy ikionyesha
mfano wa link hii


unafikiri ni simple kuelewa hii "OA%3D%3D" inakitu gani hapa
alafu ukishaelewa na hiyo "tmn" then nini kitatokea/kitafuata




i'm sorry kama sijaeleweka
 
"OA%3D%3D"
Hii inaonekana kama ni hexadecimal codes fln. Kuna baadhi ya server huwa zinapokea requests kwa aina hio. Afu hata hackers sometimes wanaweza kutumia hexadecimals kucommand server katika mazingira fln fln hv. Kama una mfano halisi wa website yenye hio kitu weka hapa nichk kama kweli ni hexadecimal command au la?? Japo haishauriwi kuruhusu server yako iprocess such low-level commands kutoka kwa client coz THE LOWER THE LEVEL, THE HIGHER THE PRIVELEGES
 
Kakimbiaaa.. jamaa alizani ni kitu secure sana kumbe easy easy sana.. bado sana kumdhibidi hacker kwa njia hii.. hajui kama kuna hadi reverse engeering kwa hizi session tockens etc..
 
hapana sio hexadecimai , kwa bahati mbaya haiko online
lakini nafahamu unaweza jaribu youtube but youtube hawakutumia hiyo kwa hapo juu hiyo ni base64 but sizani kama hakuna njia ya kutambua hapo kuna nini but inaweza kuwa ngumu kidogo ukilinganisha na hiyo base16 uliyo semea mkuu
hapa najaribu kufahamu ukish
Naam hongera Kali Linux hii site ilishaondolewa na wenye nayo hiyo sio real domain nime replace id yangu but rejea swali langu hapo juu kwa makini na pia hakuna hexadecimal kwenye hiyo url but hiyo encrypted text ilitumia base64 sio base16 but nachotaka ni kufahamu wewe Kama unaielewa na hizi mambo Nini kitatokea ukishafahamu kilchojificha hapo just a concept
Kufahamu kitu ni kuweza kuelezea pia nimerahisisha lugha bwana mkubwa hebu jaribu kuhaki theoretically Yani just elezea
 
Kakimbiaaa.. jamaa alizani ni kitu secure sana kumbe easy easy sana.. bado sana kumdhibidi hacker kwa njia hii.. hajui kama kuna hadi reverse engeering kwa hizi session tockens etc..
Nimerudi mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…