Web Developer in Tz anahitajika

chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,201
Reaction score
6,268
Habari zenu wakuu.

Nahitaji web developer mzuri kweli kweli, nimewatizama dudumizi.com kama kuna anaewajua akanipa reviews si mbaya.

Asanteni
 
mtafute eparkmedia.com sospeter masota sio mbaya sana! kuna mwingine watabelabs.com yupo humu anajiita zech wapo vizuri kiasi chao!
 
mtafute eparkmedia.com sospeter masota sio mbaya sana! kuna mwingine watabelabs.com yupo humu anajiita zech wapo vizuri kiasi chao!

Mkuu apo uliposema SIO MBAYA SANA, duh, maana yake ni kuwa jamaa si mzuri ni mbaya lakini tu si mbaya sana. Anyways website ya epark media haipnekani, its a bad sign to me. Watabelabs naona iko poa web yao but portfolio ni only 3 websites? But iko poa
 

Ukiona hivyo ujue kwa tz bado sana mambo hayo! sema kibishi bishi tu zaidi!
 

If you need, i can send you more projects, Its a personal preference that we don't put too much on that page, hit me up zech@watabelabs.com, i will send you more projects.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…