jasyfabiano
Member
- Dec 19, 2014
- 18
- 35
Habarini za mida wana JF wenzangu,
Nimekuwa nasoma vitabu juu ya kutengeneza tovuti kwa kutumia lugha kama vile HTML,JAVASCRIPT,CSS.
Ni projects zipi ambazo naweza kujaribu kuzifanya ili kujiweka zaidi ?