jamuhurijr
New Member
- Nov 20, 2013
- 3
- 0
Natafuta mtu Mwenye uwezo wa kutengeneza web Application ambayo itakua na uwezo wa kufanya registration,login,kuweka matangazo,Calculating time/days ya kazi zitakazotolewa,na iwe na simple forum.....domain imeshalipiwa na design ya template ipo tiyari kinachotakiwa ni mtu atakae fanya coding na kutengeneza Database kama idea ya kwenye template ambayo tutampa....kama unajimini kwenye sector hii tafadhli wasiliana nasi kwa email masdavie@gmail.comonly kama upo serious....hakuna longo longo....