wealth 'must be shared' with citizens | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wealth 'must be shared' with citizens

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nonda, Mar 4, 2011.

 1. N

  Nonda JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
  "Transparency and even more importantly accountability in the use of natural resources is what you need for people living in those countries to get the benefit of those national resources.

  "Libya produced enormous wealth which Gaddafi took as his own and now the people rebelled against it."
  BBC News - Oil wealth 'must be shared' with citizens says Soros

  "Uwazi na hata muhimu zaidi uwajibikaji katika matumizi ya rasilimali za asili ndio kitu kinachohitajika kwa watu wanaoishi katika nchi hizo ili kupata faida,kuona matunda,kuona tija ya rasilimali hizo kitaifa.

  "Libya inazalisha utajiri mkubwa ambao Gaddafi alichukulia kama mali yake na sasa watu wanaasi dhidi yake."

  Hii kauli ya Soros ukiiweka katika muktadha wa Tanzania ingesomeka :-

  "Uwazi na hata muhimu zaidi uwajibikaji katika matumizi ya rasilimali za asili ndio kitu kinachohitajika kwa wananchi wa Tanzania ili kupata faida,kuona matunda,kuona tija ya rasilimali walizonazo kitaifa.

  "Tanzania inazalisha utajiri mkubwa ambao CCM na Mafisadi wanajichukulia kama mali yao na sasa watanzania wamechoshwa na wameanza harakati za kujikomboa kutokana na hali hii."
   
Loading...