#ufukara, #umasikini, kinachofanyika na juhudi za kila serekali ni kuondoa Ufukara ndio maana yapo mashirika ya kugawa fedha vijijini na kuwezesha familia. Umasikini upo duniani kote hata America Japan masikini wapo lakini sio mafukara.
Hakuna kitu kibaya kama mwanaume rijali utamani kula walau kamtori halafu ushindwe kununua kisa huna hela huwa inauma kweli,
Fedha muhimu ni zipi?
Nadhani ni zile ndogondogo zinazokuja kwa mtiririko usiokoma zinazokupa uhuru wa kununua utakacho.
Mmmmh,so how can you be wealthy without those staff?just by dreaming only? C'mon nigger ur tripping!!
Money,houses,vehicles,companies,make you wealthy,out of that it's day dreaming! It's like those pentecostal worshippers,who have nothing,they are poor,and don't have means to accumulate wealthy,so wanajipa moyo,"mambo yote ni ubatili,yqnapita tu"