Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,774
- 7,337
Woyooooo! Mwana kijiji nime ingia mjini leohii hasubuhi jamani nina mapene kibao na weza kumnunua mcharuko, ciello, zinduna,madame B na vinchenchede vingi vyote vilivyo kuwemo humo.tatizo siijui hata nite club moja hapa mjini siuna jua kwe2 disco mpa ckukuu? Nawaomba washkaje mje kunipokea steand hapa wapi bishanga wapi mtambuzi wapi nama jama woteee ila ninge penda mnipeleke club inayo patikana chimpumu kabanga mataputapu chibuku na mnazi ulinzi nahi taji wa maana kwakua nime kuja na ngedere wangu.