Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 10,327
- 6,850
There we go again with paper qualification.
Kwa msingi huu hata Bill Gates type of a genius asingeweza kuwa mbunge bongo.
Elimu si kuwa graduate. Our cabinet has had several Ph.Ds. Wanacheza.
Harry Truman is regarded as one of the great US presidents. The man never graduated college.
Waingereza wenye stiff upper lips na tuliowaiga habari za bunge sio tu wanaruhusu non graduates kuwa wabunge, wamempa John Major u PM. The man never graduated college.
Demokrasia inataka uchaguzi wa watu.
Ukianza kuweka masharti zaidi kugombea ubunge unaondoa uchaguzi kutoka kwa watu unaupeleka kwa maprofesa. Leo utasema wawe graduates, utaona tuna ma Ph.D kama kina Nchimbi. Utataka kesho graduates wspimwe IQ. Utaona hats hao wenye IQ kubwa wanapwaya. Utataka upime mpaka DNA ya uongozi.
Utakuta hamna kitu kama hicho.
Leadership is more of an art than a science. Track record and productivity should be the benchmarks. And the people should be the judges. If you want an educated parliament open the barriers to education.
This proposed requirement is unconstitutional because it unduly infringes on Tanzanians basic democratic rights.
Vipi kesho tukipata genius limefukuzwa chuo kwa sababu halijaelewana na ma profesa wapuuzi? Tutalikatalia ubunge kwa sababu halina cheti cha kuhitimu chuo?
Hapa mzee yaani umeniua, hoja safi, nzito, ya karne na imetulia.
Ila hapo kwenye ruzuku ya vyama vya siasa, naona kama jamaa lina hoja hivi au?