Ni bora niwe nyani niwe porini nikila matunda ya mungu, maana haya ya mtaani mnakula wenyewe na ndugu zenuajira mnajiajiri kwa
kujuana, hosptali mnazenu mimi na wenzangu maskini mmetuacha temeke, amana, mwny'mala, na siku hizi tuna pale sinza
palestina, MADUKA NA MAGENGE mmeamua kutumia masupermarket hata kariakoo niliyokuwa nikitumia kukunua dagaa, nyanya kwa
wingi sasa inapotea, ndizi,maembe nk vyote mnaletewa kwenye masupamaket yenu, mkienda sokoni kwa magari tena
mkibadirisha.nimechoka sitaki kuwa vyovyote niwe hivi nilivyo na nikose huo mkia, kwani? nyani bila mkia sitaishi msituni, ndiz,
matunda, mizizi, magome vyote nitakula, dawa za miti ziko..isitoshe mmeshaanza na mnamalizia misitu yetu, kuiba mbao na
kupeleka ng'ambo, mungu awaalani, mnakosa hata fadhila, heri yangu mimi, eti mimi fukara mafukara nyinyiemi mnaopelaka kila
mali ulaya na pengine ughaibuni, tumemaliza chuo, eti bodi mmekataa kukubali mmetulipia vyeti tumenyimwa, sasa tufanye nini,
wakoloni wamegoma kurudi watuadhibu kwa pamoja, na sasa wanatunyonya sisi, nynyiem mkila hewa safi masaki na kwingineko,
bora niwe nyani kasoro mkia