We omba hela tuu we omba tuuu

ha ha ha ha mwishowe ataingia mitini
 
si kweli hata siogopi acha niombe hela tu ndo mpango mzima
 
Hii inanikumbusha wimbo wa Bambo na Mtanga

"... Haka kademu kademu ka mizinga mama we, Utakawezooo?"
"... Haka kademu kanapenda mizinga mama we, Utakawezoo?...
 
Hii inanikumbusha wimbo wa Bambo na Mtanga

"... Haka kademu kademu ka mizinga mama we, Utakawezooo?"
"... Haka kademu kanapenda mizinga mama we, Utakawezoo?...

hahaaaaaaa! nimejikuta naimba lol!
 
nadhani lita tano zitakuwa zimetimia? ila mapenzi utamu wake upo wapi aisee? mimi huwa sioni kabisa
pekundu ni sawa na kumtaka mwana wa adamu akueleze raha za mbinguni au machungu ya Jehanaam. Swali hili litunze hadi mwaka kesho nitakapoanza kuyajua mapenzi. Ila umeulizwa kama umeolewa ukakaa kimya. Lita bado ni zile zile 4.5
 
Ha ha haaaaaaaa. Hii kali. Ila wengine ving'ang'anizi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…