We must protect our President Dr. Magufuli

Kuna haja ya kumlinda wakati ukimtukana facebook unatupwa jela au unapigwa faini. Chombo cha habari kinachomkosoa kinafungiwa kwa kutoa habari za uchochezi, hata wanasiasa wa wa chama chake wanamuogopa. Nafkiri yeye mwenyewe ameshajilinda vyakutosha.
Hivi kuna mtu anapenda kutukanwa dunia hii? Mtu akinga hoja bila matusi inakuwa si hoja. Tufuate ustaaribu wa wenzetu, using'ang'anie kutembea uchi wakati wenzako wanavaa nguo. Yaani ninyi baada ya kumtakia rais mazuri nyie mnaomba mabaya kila kukicha
 
Nashukuru kwa mchango wako uliojaa busara wa kuonesha kuwajali sana wazazi. Maana wao ni muhimu na wanastahili kwanza wao kufanyiwa kisha wengine wafuate. Kwa mantiki hiyo na busara hizo naomba umshauri Lema aanze kuota wazazi wake wamefariki kwanza, baadae ndio ahanie kwa rais
 
Lengo lako ni jema lakini umeniboa kwa uandishi wako mbovu hasa kwa kushindwa kutumia l/r kwa ufasaha...acha nikuudhi ili upone udhaifu huu
 
Lengo lako ni jema lakini umeniboa kwa uandishi wako mbovu hasa kwa kushindwa kutunia l/r kwa ufasaha...acha nikuudhi ili upone udhaifu huu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Tushindwe kulinda familia zetu tumlinde magufuli kwa mazur gani aliyofanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…