Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,589
- 28,754
Jose Everist,,,,,,,,,,,,,,,,,,,ngoj waje samahn kwa mwenye siti nafatilia
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ngoj waje samahn kwa mwenye siti nafatilia
That's his uniqueness... Smart hanaga blah blah ndomana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]Shunie turejeshee Jamaa Yetu aiseee"" sio poa kabisaaa...yaaani""
ndio ulimpa ile style ya hukumu ya yesu nini "" ??
ndio maana huwa hatutaki ma great thinker wawe wanakuja katika haya majukwaa ya umbeya...wakishakuja huku na kukutana na kina shunie mzigua ""mbitiyaza kina nahuja basiiii na akili zao zote zinatoweka """ sijui Hawa wadada huwa wanatumia uchawi gani""". refer the Boss""mshana Jr" na yule yake ""nipher ..hata smart nae amekuwa mtu wakupost maneno mawili tu ......dadeq
hata mtoa mada nae siku zake zinahesabika....
hahaaa yaani umemfcha Jamaa ..mpka huwa anatoa comment zenye maneno mawili tu ""That's his uniqueness... Smart hanaga blah blah ndomana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]
Cc Smart911
he he he heShunie turejeshee Jamaa Yetu aiseee"" sio poa kabisaaa...yaaani""
ndio ulimpa ile style ya hukumu ya yesu nini "" ??
ndio maana huwa hatutaki ma great thinker wawe wanakuja katika haya majukwaa ya umbeya...wakishakuja huku na kukutana na kina shunie mzigua ""mbitiyaza kina nahuja basiiii na akili zao zote zinatoweka """ sijui Hawa wadada huwa wanatumia uchawi gani""". refer the Boss""mshana Jr" na yule yake ""nipher ..hata smart nae amekuwa mtu wakupost maneno mawili tu ......dadeq
hata mtoa mada nae siku zake zinahesabika....
hahaaa ngoja nawewe utekwe na Hawa wadada wa humu"" akili lazima zitakupwa hizohe he he he
ulichokiandika kimenifikirisha sana aiseee
Ngoja nirudie kusoma tena
AmiinNipo wakuu.....natazama tu hali inavyokwenda
what if kina Maxence Melo wakishindwa kesi hiyo may?
na ukichukulia mahakama zetu ndo hizi hizi tunazozijua?
naona possibility hata ya JF kufungwa ipo kuubwa
au kulazishwa kuwataja member wanao ikera serikali...
mood ya kuchangia humu inanitoka hasa kama nalazimika
kuwa 'makini' nisichangie vya 'kuiudhi' hii serikali
au thread kubadilishwa heading au kufutwa
but nipo most of time kama guest tu natazama..
after hukumu ya JF hapo May naona ndo ntakuwa more active kama
JF itabaki kama ilivyo....inshalaah...