Mungu anusuru kichanga jamEnii, hapo goli likitinga na washangilaji wakijimwaga na kuparamia gari sijui nini TENA !!!! Onw move tuu !! hadithi itakuwa ingineee!
Duh salale......alafu utasikia..miaka 15 ijayo anajifanya ana uchungu..sana na mwanae...hasa pale anapotangazwa arusini na mC......"Mama wa bibi arusi asimame jaman"" vigelegele..vingi kumbe alishindwa hata na paka aleavyo watoto wake kwa usalama.....Pumbafu kabisa....!! "mtoto kwa mama ni kidonda kwa bibi ni kovu" huyu si wake..labda bibi yake