Chadema 2030 JF-Expert Member Joined May 5, 2025 Posts 1,920 Reaction score 3,753 Apr 28, 2026 #201 kila mtu afanye apendalo
shibela JF-Expert Member Joined Jul 3, 2018 Posts 3,794 Reaction score 13,474 Apr 28, 2026 #202 min -me said: Hii msg ni yangu au umekosea shibe? Click to expand... Yako kabisa nakuasa ukilewa usiende kulala kawashughulikie waache kututamani wanawake wenzao!
min -me said: Hii msg ni yangu au umekosea shibe? Click to expand... Yako kabisa nakuasa ukilewa usiende kulala kawashughulikie waache kututamani wanawake wenzao!
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 58,066 Reaction score 166,615 Apr 28, 2026 #203 shibela said: Yako kabisa nakuasa ukilewa usiende kulala kawashughulikie waache kututamani wanawake wenzao! Click to expand... Hahahaha mimi ni pombe tu nikitaka kuzaana ndio napatia mimba tu , tofauti na hapa starehe yangu ni pombe
shibela said: Yako kabisa nakuasa ukilewa usiende kulala kawashughulikie waache kututamani wanawake wenzao! Click to expand... Hahahaha mimi ni pombe tu nikitaka kuzaana ndio napatia mimba tu , tofauti na hapa starehe yangu ni pombe
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 12,799 Reaction score 24,122 Apr 28, 2026 #204 Ngoja nicomment Uzi usifutwe,,
shibela JF-Expert Member Joined Jul 3, 2018 Posts 3,794 Reaction score 13,474 Apr 28, 2026 #205 min -me said: Hahahaha mimi ni pombe tu nikitaka kuzaana ndio napatia mimba tu , tofauti na hapa starehe yangu ni pombe Click to expand... Nakuomba sana kaka yangu Niko chini ya miguu yako,ukimaliza kulewa kawapelekee moto Fanya kama msaada tu utupunguzie kutamaniwa na wadada wenzetu!
min -me said: Hahahaha mimi ni pombe tu nikitaka kuzaana ndio napatia mimba tu , tofauti na hapa starehe yangu ni pombe Click to expand... Nakuomba sana kaka yangu Niko chini ya miguu yako,ukimaliza kulewa kawapelekee moto Fanya kama msaada tu utupunguzie kutamaniwa na wadada wenzetu!