We Kipanya Mungu anakuona

Kama nchi, kiukweli tulipotea njia! Kuanzia 2015 mpaka machi 17, 2021! Siyo siku, tarehe na miaka ya kusahaulika kamwe katika historia ya nchi yetu.

Hakika tuanze tu upya ukurasa wa kitabu.
Maana yake nini!?😴😴😴
 
Kipanya huwa hakamatwi wala kuhojiwa, ndio wale wale.

Ngoja tuone mama ... yeye vereje! Bado mapema sana!
 
^Katika suala la kusimamia mapato, rushwa na utawala bora, NITASIMAMA IMARA^ ~ Rais Samia

Rais akisema, nchi & raia wake wamesema. Ni kosa kudhani Rais ni mtu binafsi. Zile kauli, hata kama ziko katika umoja, ni jumuishi.
 
Tangia Makonda Avamie Cloud TV na Kutekwa kwa Kipanya by Makonda. Masoud alikuwa ana mpiga za Uso sna Dictator JPM.
 
^Katika suala la kusimamia mapato, rushwa na utawala bora, NITASIMAMA IMARA^ ~ Rais Samia

Rais akisema, nchi & raia wake wamesema. Ni kosa kudhani Rais ni mtu binafsi. Zile kauli, hata kama ziko katika umoja, ni jumuishi.

Akisema, "mimi ni jiwe kweri kweri."

Ina maana na wewe umejumuishwa humo?

Kweri Chatto Inc ni imani, wengine nasi tuna zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…