We Jimama na ushindwe kabisaaaaaaaaaaa...

rafikimkweli

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
349
Reaction score
121
This weekend , for the first time nimekutana na usumbufu kidogo..

Kama ilivyo ada watanzania wengi jumamosi ni siku ya kujichanganya kwenye social activities , nikawa nimealikwa kwenye harusi wandugu..

Nikachukua kifaa changu tukasogea ukumbini, tumefika tukakaribishwa kwenye meza iliyokua na wanawake watatu, plus us tukawa watu watano in a round table..

Sasa wife kakaa upande wa kushoto yuko bize na matukio ukumbini, mimi pia, taratibu mda ulivyokua unakwenda yule mama aleyekua amekaa jirani yangu upande wa kulia akaanza kunizoea kwa mazungumzo, na mimi ili nisionekane na roho mbaya nikawa nachangia mada..

Mida ikawa inakwenda, yule mama akawa anasogeza mkono wake chini ya meza anagusa paja langu, sasa mimi nikajua labda kakosea akanigusa bahati mbaya, ila ikawa inajirudia, mpaka ikawa kamchezo kabisa, kupapasa upaja wangu...

Nilikua kwenye situation ya ajabu, maana kucheki yule maza kaenda age, halafu meza nyingine hakuna empty seats , kuondoka ukumbini nako shughuli, basi nikawa navumilia kupapaswa pale mpaka mida ya kutoa zawadi nikasepa na matomaso yakaisha...

Ilikua siku ya ajabu sana kwangu, nashindwa kumuelewa yule mama alikua na maana gani kufanya vile, na nilishindwa kupata mbinu ya ghafla kutatua ile hali...

Kina mama wana matatizo, kwakweli hiyo haikua sahihi..
 
Umemchokoza mmama wa watu kaitikia halafu unakimbilia kutoa report uonekane we msafi ye kajipendekeza,ukikutana na watu kama hawa wa kukimbilia ku-riport wengine kwenye mapenzi ili wao waonekane wazuri ujue wao ndo waanzilishi,wakushobokewa hawatoagi siri.ila huwa kimya kulinda mapenzi yao ili wasionekane wana doa,ukiona mtu anajisalimisha ujue ye ndo ana makosa.
 
Unalia nini au unataka kusema nini. Hukui tu.
 

Kiukweli hakuna binadamu asiyekuwa na matatizo, ila kwa vile hiyo situation yenu ilikuwa inawahusisha wewe na huyo mama . . . . basi ni busara ukarekebisha hiyo kauli yako.
 
Kiukweli hakuna binadamu asiyekuwa na matatizo, ila kwa vile hiyo situation yenu ilikuwa inawahusisha wewe na huyo mama . . . . basi ni busara ukarekebisha hiyo kauli yako.
i was sexually abused how about that??
 

Ungempa namba yako ya simu.....
 
Hebu mkue bana hii nini sasa mmama kakushika wewe hutaki why usimpe makavu live?? Wewe sikuamini hata chembe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…