TyreQ
Senior Member
- Oct 12, 2018
- 130
- 126
Kigogo wa China amesema hawana lengo na hawataki kuwa fanya watumwa tena. Kwa maana wa Africa wengi mmeingiwa hofu ya “kwanini wanatupa misaada bila masharti magumu kama wengine?” Misaada mingi toka kwa wachina imekuwa ikisemwa kuwa ina masharti sawa na bure kiasi cha kuwajengea hofu wa Africa wengi (japo wengine wanasifia sana bila hata kuwaza hofu hii) kwa kuhisi kuna “string attached” katika misaada hiyo.
Hivyo mapapa watoa misaada wameamua kuwatoa hofu kabisa na kwamba tulieni mhudumiwe.
Japo nawakumbisha tena, vya bure vinaua ndio maana mheshimiwa mstaafu aliwahi kuwambia “mkitaka kula nanyi liweni kidogo” endeleeni kufurahia kula tu ila msijeshangaa mkianza kuliwa.
Wasalaam.