Muarubaini
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 222
- 48
we ndo hujajitambua na hujui unachofanya acha kuwapotosha vijana wenzako kama una shahada ya uhandishi endelea kuilalia ukisubiri ajira, mim ndo nimeipost na nitaendelela kulipigania hili hadi mwisho vijana fanyeni chochote ambacho ni halali kitakachowafanya myafikie malengo yenu piganeni kwa kila namna achaneni na hawa wachache wanaowakatisha tamaa, yeye ni kijana wa dot.com nishamstukia, anarelax na degree yake akisubiri ajira bora, we unadhani maelfu ya vijana wanaomaliza vyuo kila mwaka wataenda wapi kama hawatafunguka kifikra na kujua kuwa wanaweza kupambana ili waweze kupunguza makali ya hali ngumu ya maisha? lipi bora, kuepuka kuwa cheap ukiwa na degree yako mkononi na maisha magumu ukisaka soli kusubiri ajira ambayo hujui inakuja lini? au kupambana kwa kutafuta chochote cha kufanya kwa kuiweka degree chini kwanza ili ukusanyekusanye angalao upate kamtaji katakapokufanya uwe comfortable katika process za kusubiri ajira? narudia tena vijana wenzangu, mimi nilijitosa na elimu yangu ya form four kuwa housegirl na leo hii naweza sema nipo katikati si tajiri wala si masikini nimeshajitambua namimi nina degree yangu mkononi kama nyie, sina presha katika kutafuta ajira wapendwa wangu maana nina kitu ambacho nafanya, na hili nimefanikiwa kutokana na kutochagua kazi,.NITALIPIGANIA HILI HADI MWISHO,amkeni vijana wenzangu msilale tafuteni shughuli za kufanya zilizo halali,waacheni hawa wachache kama huyu muarubaini anayewapotosha eti nyie siyo cheap, imeniuma sana kuona kumbe bado tuna wachache ambao hawajafunguka kifikra kama huyu... all the best, amelinechao@gmail.com
Hapo kenye red=thamani. Mkuu una point ila jaribu kuchek Tanzania ilivyo kwa sasa, wakati mwingine unapewa kazi mbaya ili uaminifu wako upimwe, sasa graduates wengine wanajifanya masharobaro, wanakataa kaz then wanaenda kuomba pesa nyumbani, ni sawa?nimeanzisha mada hii baada kuona thread moja ikilamu mtu kukataa kaz akiwa hana kazi. Si kweli wala sahihi kwamba kama mtu hana kaz basi ajishushe dhamani yake na kufanya kaz ambao anaona fika haiko katika level yake. Vijana lazma tujue dhamani yetu na tukatae kunyonywa kwa kupewa kaz ambazo haziendani na ujira in the name of unemployment. Tuzikaae tujizatiti hata kuungana na kujiari wenyewe. Mtu ana shahada ya uhandisi unamwambia kawe bar made kisa hamna ajira, bora mara mia ukafuga kuku wako wa mayai ukauuza
poor thinking, ina maana kutolea mfano shahada ya uhandis wewe tayari umeshahitimisha kuwa ni mimi. Njoo nkuajir uwe unanilishia kuku wangu, mshahara 30000, chakula unakula kwangu na utalala kwenye banda moja lililo waz
Please muarubaini jaziba ya nini? dada yupo correct acha kuwadanganya vijana na post yako ingefaa iwe I can not be cheap plz dont include us.
Hapo kenye red=thamani. Mkuu una point ila jaribu kuchek Tanzania ilivyo kwa sasa, wakati mwingine unapewa kazi mbaya ili uaminifu wako upimwe, sasa graduates wengine wanajifanya masharobaro, wanakataa kaz then wanaenda kuomba pesa nyumbani, ni sawa?
VIJANA TUTULIZE VICHWA VYETU, KIPINDI HIKI CHA UKOSEF WA AJIRA TUSIPO KUWA MAKINI UTATUPOTEZA DIRA KWA TAMAA NA UCHU WA PESA USIOJAL UTU. PLEASE JIAMINI, JITHAMIN, TAFUTA KWA JUHUD NA MAARIFA PIA OMBA MUNGU AKUSAIDIA. HAKUNA ALIYEPATA DEGREE YA KUPEWA, KILA M1 KATAFUTA KWA JASHO LAKE KWA MIAKA ISIYOPUNGUA 16 AKIWA DARASAN. TUNZA JASHO HILI KWAN YAPO MENGI MAZURI YANAKUJA, OMBA KAZ BILA KUCHOKA. Use plan B, C or D if necessary. Mfano: OMBA KUPITIA MTANDAO, OMBA KUPITIA POSTA, ACHA CV YAKO KILA UNAPOONA PANA FAA, TENGENEZA BUSINESS CARD GAWA KWA WAFANYAKAZ WA MASHIRIKA TOFAUT, ACHA CV KWA VIONGOZ WA DINI AKUSAIDIE, ACHA UOGA NENDA KWA VIONGOZ WAKUBWA AU RAIA WENYE PESA HAPO ULIPO UWAPE CV YAKO. Note: usifanye kaz ztakazo dhalilisha utu wako kwa kisingizio cha kutafuta pesa like ujambaz, uhudumu bar, uchangudoa... Utapotea.
umeongoea pointJamani maisha nimagumu sana, tena hata humu kwenye Jukwaa hatufanani. Wengine tumeanza kuhudumia familia tangu tukiwa form1 hivyo hatuwezi kuacha familia ikifa njaa wakati uwezekano wakupata angalau upo huku ukigombea hicho kikubwa. Sasa wapo wengine wametokea familia bora ambayo inauwezo wa kifedha sio mbaya kwake kusubiri kazi stahiki ila kwa wezangu na mimi weka degree yako pembeni angalia linalowezekana maana hapa mjini usiogope kuchekwa eti wenzako wanafanya kazi maana wewe upo ktk kazi za vichochoroni
thanks kajansi your correct, bora umsaidie ajue matumizi ya singular and plural, pamoja
VIJANA TUTULIZE VICHWA VYETU, KIPINDI HIKI CHA UKOSEF WA AJIRA TUSIPO KUWA MAKINI UTATUPOTEZA DIRA KWA TAMAA NA UCHU WA PESA USIOJAL UTU. PLEASE JIAMINI, JITHAMIN, TAFUTA KWA JUHUD NA MAARIFA PIA OMBA MUNGU AKUSAIDIA. HAKUNA ALIYEPATA DEGREE YA KUPEWA, KILA M1 KATAFUTA KWA JASHO LAKE KWA MIAKA ISIYOPUNGUA 16 AKIWA DARASAN. TUNZA JASHO HILI KWAN YAPO MENGI MAZURI YANAKUJA, OMBA KAZ BILA KUCHOKA. Use plan B, C or D if necessary. Mfano: OMBA KUPITIA MTANDAO, OMBA KUPITIA POSTA, ACHA CV YAKO KILA UNAPOONA PANA FAA, TENGENEZA BUSINESS CARD GAWA KWA WAFANYAKAZ WA MASHIRIKA TOFAUT, ACHA CV KWA VIONGOZ WA DINI AKUSAIDIE, ACHA UOGA NENDA KWA VIONGOZ WAKUBWA AU RAIA WENYE PESA HAPO ULIPO UWAPE CV YAKO. Note: usifanye kaz ztakazo dhalilisha utu wako kwa kisingizio cha kutafuta pesa like ujambaz, uhudumu bar, uchangudoa... Utapotea.
Thanks brother, hapo sawa kabisa ila hapo ulipozitaja hizo kazi ndo umeniboa tu, hasa hiyo ya wahudumu wa bar, kwani unajua maisha yao yakoje? ni riziki ambayo Mungu kampangia, unaniumiza maana mimi ni mmojawapo wa watu walioishi maisha ya kubangaiza kama hao na leo hii am hero, yaan i started from zero to hero now, usimdharau usiemjua brother[/QUOTE). Yawezekana jambaz, changudoa au mhudumu wa bar wakawa na maisha mazur japo haimaanishi kaz yao ni bora. Ni kaz zinazo dhalilisha utu, mweny degree hupaswi kuzsogelea.
Another poor thinking! hivi nyinyi nani aliyewaroga? unadhubutu kusema hizo kazi ulizozitaja ni za kudhalilisha! style up man! Ni sawa husiwe jambazi wala changudoa nakubali ila naomba nikuulize unajua waonafanya kazi bar maisha yao yakoje! Utashangaa wanapata mkate wao kwa uzuri na wanaudumia familia uenda hata ww uoni ndani!
Unamkumbuka yule kijana wa Tunisi aliyejichoma moto kisa alisumbuliwa na mgambo wa jiji akifanya shughuli za kimachinga mtaani! je hakuwa na degree?
Umesikia Master holders Nigeria wanavyogombania kazi za udereva!
Guys don't be deceived by narrow minded people do anything no matter what.