EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,525
nani kakudanganya wanawake wanataka pesa?
Pole sana dogo kwa kibuti, tafuta pesa lasivyo endelea kuwaita mashemeji tu.
ntake radhi aisee mi sio dogo
Pole sana dogo kwa kibuti, tafuta pesa lasivyo endelea kuwaita mashemeji tu.
karibu tenaNgoja nipeleke gari likaoshwe kwanza nitarudi
π€£π€£π€£π€£π€£ Haiondoi maumivu ila inaleta farajaKumekucha, hivi mtu ukipewa cha mbavu lazima uje uanzishe uzi Jf?
Aisee, sio masikhaara masikhara
Pole sana dogo kwa kibuti, tafuta pesa lasivyo endelea kuwaita mashemeji tu.
Kwamba baharia anataka chura nene ila wenzake wanataka mrefu mwenye hela ye anamaindi nini πππ€£π€£π€£We mbona unachagua wa kutaka kuoa? Acha na wao wachague wa kuolewa nao jamani tusiwanyime haki yao.
We umejuaje kama kapewa cha mbavu?Kumekucha, hivi mtu ukipewa cha mbavu lazima uje uanzishe uzi Jf?
achana nae, ana stressWe umejuaje kama kapewa cha mbavu?
Tafuta hela hatutakutenga tutakuchagua nawewe..πWanawake vichwa maji sana, wanaojiona ni wazuri wa sura huwa wana kasumba ya kuchagua wanaume wa kuolewa nao,
Mfano utakuta binti anasema "Mi sitaki kuolewa na mwanaume mfupi, mara nataka kuolewa na mwanaume mwenye pesa zake, nyumba na magari, mara sitaki kuolewa na bodaboda maana wanaongoza kwa kuchomoa betry"
Dada yangu uliye selective namna iyo utaishia kuhudhuria harusi za rafiki zako, mwisho wa siku utaanza kung'ang'ania magetoni kwa mbaharia pale utakapogundua umri umekutupa mkono ..... Ohooooo!!!!!!!!!!!
[Raha ya mali mchume pamoja siyo uzikute utanyanyasika]
Tafuta mume mapema ulee watoto na siyo wajukuu
Sauti inatosha au niunganishe kwenye subwoofer ili nisikike fresh?
View attachment 1182958
Povu ruksa ntarudi kesho kufua